banner

banner

Latest News

Powered by Blogger.
Monday, April 13, 2015

NILIVYOWEZA KUOKOLEWA KATIKA MAISHA YANGU YA DHIKI. 02

Ilipoishia wiki iliyopita ``hayomapokezi.....alisimulia jinsi alivyoweza kuwa milionea. Nami nilikuwa tayari kwani alipata utajiri kwa njia ya ndagu kwa masharti machache na marahisi sana.............................``


Nilikuwa taari kutimizamasharti yoyote atakayo niambia kwani maisha yalikuwa yamenipiga kibutisikuwa nambele wala nyuma kutonana ugumu huu wa maisha ,ili bidinilalepalekwake na ndipousiku ulipofika aliipeleka kwa gwiji (mtaam) ambaye anayegawa utajiri wa haraka kwa masharti machache sana.
Alinipokea natukamueleza shida yetu hasa nikiwa mlengwa ni mimi alipa moyo kwani unatakiwakuwa na kifua na jasiri.kupatamali nilikubali na akaniambia nichague utajiri kwani kulikuwa na utajiri wa aina tofuti tofauti moja wapo ni kumtoa mzazi wako wakike au wakiume kamka sadaka kwa wazee au kucheza kamali ya kuku kula mbegu katika mbegu mia mojaikimaanisha miaka ya kuishi kwa utajiri utakao upata.
Nilichagua kucheza kamali ya miaka na kuku  kwakulamahindi.Niliambiwa nisubilie hapo kesho  ila rafiki yangu aliludi mie nikabaki kwa gwiji ilipofika asubuhi na mapema alichukuliwa kuku na akafungiwa katika kibanda bila kupewa chakula chochote mpaka ilipo fika hapo jioni yake gwiji aliiniita na tukaingiakatika chumba cha siri sio siri nilistaajabu sana baada ya kuingia katika chumba hicho kilikuwa  kina alama mbalimbali zakishetani nilishaangaa kuona fuvu mbili za binadamu zikiwa juu yameza fuvu moja lilikuwa lina rangi yeusi na fuvu jingine likiwana rangi nyeupe. Huku nikiendelea kushangaa gwiji aliambia nikanawe katika bakuli kubwa lenye rangi nyekundu baada ya kumaliza kunawa mikono yangu,gwiji alifanya vitu vingi vya ajabu ambavyo ilinipelekea kuviogopa sana aliinua mkono wa kushoto juu mara ghafla ikatokea pete nyenye mng`ao mkali wa dhahabu kisha alichukua mkono wangu wa kushoto na kunivisha pete hiyo baada ya hapo alitoa mahindi mia moja kwenye kikapu cheusi kisha akamchukua kuku akamuweka mbele yangu.Baada ya hapo alinipatia yale mahindi mkononi ili niya mwage chini ili kuku yule aliye kua amewekwa kwenye kibanda ayale nadipo nika ya mwaga chini yale mahindi mia moja kidogokidogo kuku alianza kudonoa yale mahindi huku moyo wangu huku ukienda mbio kwakuhofia kuku atakula mahindi mangapi....................ITAENDELEA WIKI IJAYO kwa mawasiliano zaidi piga namba hii 0652 720 339

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: NILIVYOWEZA KUOKOLEWA KATIKA MAISHA YANGU YA DHIKI. 02 Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top