banner

banner

Latest News

Powered by Blogger.
Sunday, October 8, 2017

MASHARTI YA UTAJIRI WA KICHAWI

Inaendelea.....
Walipoingia ndani, Mzee  Temba alimkabidhi Yule Babu Anaetoa Utajiri mfuko mweusi, yule Babu aliupokea na kuwataka waketi chini kabla hawajaketi;, Musa alimsalimia Yule Mzee Anaetoa Utajiri, akaitikia kwa kujiamini. Halafu  akamuamlisha Musa atoke nje haraka akavue viatu ndipo aingie. Musa alifanya hivyo kwa haraka, harafu akarejea ndani na kuketi chini kama mwenzake. Mara Yule Mzee Anaetoa Utajiri Akafungua Ule Mfuko na Kutoa Kichwa Cha Mtu, 'Alimanusra Musa Azimie!  Lakini alijikaza kisabuni. Yule Mzee Anaetoa Utajiri Alikikalisha kile Kichwa Juu Ya Ngozi, Akakimwagia Dawa ya Unga Pamoja naya Maji, Uku akiongea Maneno ya Kunuia, Mara Kile Kichwa Kikapotea Kimiujiza,! Yule Babu Anaetoa Utajiri Akaangua Kicheko Kikali, Mwisho Akasema ; Sadaka Yako Imepokelewa "Alichoma Ubani, halafu akanyoosha Mkono na Kusema, "Enyi Wakuu Wa Giza, Tumetekeleza Yote Mliyoyaitaji, nasi tunaitaji kile tulichokikusudia,:. Kufumba na Kufumbua, Ilitua Pete Kwenye Kiganja Cha Yule Babu Anaetoa Utajiri, Aliibusu na Kumvisha Mzee Temba Mkono Wa Kulia Kidole Cha Katikati, Akamtaka Mzee Temba Awemakini na Asiache Kufanya Aliyokwisha Kumjuza hapo awali. Alipo Maliza Alimgeukia Musa na Kumtaka anyooshe viganja: alinyoosha kwa haraka ;Yule Babu Anaetoa Utajiri Alivikagua na Kusema Kuwa 'Ananyota Mbaya Lakini Anabahati, Alizidi Kumjuza Kuwa,. Mzee Temba Amemjuza kila kitu Juu Yake. Kwa heshima ya Mzee Temba Atamsaidia, Akamjuza Kuwa, Akiweza Masharti Atakuwa Tajiri Ndani ya Siku Tatu Zijazo
Musa alifurahi Sana ilikuwa Mida ya Saa Mbili Asubuhi Mzee Temba Alimuaga Yule Babu Anaetoa Utajiri  Akaondoka Kisha Akaniambia Endapo Nitatoka Pale Nimpigie Simu Anifate, Baada ya Mzee Temba Kuondoka Yule Babu Alimtoa Kuku Mkubwa Mweusi Kisha Akanipa Nimfungie Kwenye Chumba kilichopo hapo hapo Nilikaa Sana Mpaka Nilipitiwa na Usingizi,. Ilipofika Saa kumi Jioni Yule Kuku Alifunguliwa Kutoka Kwenye Chumba, Akiwa na Njaa Kali!!!  Yule Babu Anaetoa Utajiri Akamwaga Chini Punje Mia Moja za Mahindi!!! Kuku Kuona Yale Mahindi, Aliyakimbilia na Kuanza Kudonoa Moja Baada ya Lingine, Kwa Bahati Mbaya!!!  Yule Kuku alikula Mahindi Kumi tu (10). Musa Akaambiwa kuwa, Atakuwa Tajiri Miaka Kumi: Ikitimia tu' atakufa iwe isiwe. Musa hakuonyesha Dalili ya Kuogopa wala Kufurahi!!! Yule Babu Anaetoa Utajiri Alimchukua Musa Mpaka Ndani, huko Alichoma Ubani Akaanza Kusoma Kisomo Cha Cha Majini Uku Akitupia Ubani Kwenye Moto Ule Ubani Ukaisha na Kusitisha Dua. Aliwasha Udi Karibu Kila Kona, harufu Nzuri Ilitawala Mule Ndani, Alimchukua Yule Kuku Aliyekula Mahindi, Akamvunja Shingo Kwa Kumyonga!!! Alizidi Kunyonga Kile Kichwa Cha Kuku Mpaka Kikatengana na Kiwiliwili. Alimtupa Yule Kuku Chini, na kunyoosha Mkono kama Mtu Anayeomba kitu, Aliomba kwa Sauti ya Kuamlisha kwamba Aletewe Pete ya Miujiza. Kufumba na Kufumbua, Pete Ilitua Mkononi Mwa Yule Babu Anaetoa Utajiri,. Wakati Pete hiyo Inatua Ulisikika Muungurumo Uliofuatiwa na Tetemeko Dodo la Ardhi: Yule Babu Akutaka Kutopoteza Muda Alimfuata Musa na Kumvisha Ile Pete Kwenye Kodole Cha Katikati Mkono Wa Kushoto, Ile Pete Ilikuwa niya Shaba, Katikati Ilikuwa na Jiwe lenye Rangi ya Bluu Bahari. Jiwe lile lilionekana kung'aa Pembeni Kwa Pembeni kama Nyota, Musa Aliitazama Ile Pete Kwa Jicho la husuda, Akatabasamu Alipo Mtazama Yule Babu Anaetoa Utajiri. Babu Alimuamuru  Musa Akae Chini Sababu Kuna Machache Anayotaka Kumjuza Kuhusu Ile Pete, Alianza Kumueleza Namna ya Kuitumia Ile Pete Baada ya Kukaa Chini ;  Hiyo Pete ni Pete ya Bahati, Pia ni Pete Ya Miujiza Inatolewa na Jann. Jann, ni Jini Mkuu, Alikuwepo kabla ya Dunia Kuumbwa, ni Jini Mwenye Nguvu Kuliko Majini Wote, Pia Ana Miujiza ya Kutisha. Hii Pete Inanguvu sana Kutoka Kwa Uyo Mtukuru Jann. Lakini Inafanya Mambo ya Kutisha, Inauwezo wa Kufanya Lolote Utakalo Lihitaji Kufumba na Kufumbua. Sizani Kama Kuna Mtu Mwenye Uwezo Wa Kuiiba au Kuitumia, ni Maarumu kwako na Sio Vinginevyo, Ukiisahau Mahala : Utaikuta Kwenye Kidole au Mfukoni ;Ikiibiwa Itakurudia Wewe Mwenyewe Baada ya Muda Mfupi, Ikipotea Itakurudia Pia, Endapo Kama Utaitaji Pesa Kiasi Chochote Unachokitaka Unachotakiwa Kufanya. Utaivua hiyo Pete na kuiweka kwenye Mfukoni, Box au Droo, Alafu Utaomba Kiasi Cha Pesa Unachoitaji, Kufumba na Kufumbua Zitatokea, Utazichukua na Kuzifanyia Chochote Unachokiitaji, Bila Masharti Yoyote. Yule Babu, Alimaliza Kumpa Maelekezo na Mwisho Alimaliza Kwa Kusema. '"Nakutakia Maisha Mema,, Waliagana, Musa akaondoka Kuelekea Stend, Njiani Alichukua Tax mpaka Stendi kuu ya Bagamoyo  huko Alipanda Coaster Mpaka Mwenge:  Huko Alitafuta Kibanda Cha Simu Akampigia Mzee Temba na Kumjuza Kuwa Yupo Mwenge ;Akaomba Mzee Amtumie Gari Maana hajui Atokako Wala Aaendako , Kila Akitazama, haoni Nyumba Yake Wala Walikopitia A wali. Mzee Temba Alicheka Sana na Kumuuliza kama kila kitu ni Shwari? Musa Alimtoa Uoga kuwa kila kitu kimeenda kama Walivyopanga. Mzee Temba Alitaka Kujua Alipo, Musa Alimjuza kuwa 'Yupo Ndani ya kontena la Vodacom, Mwenge. Mahala Alipo kuwa Mzee Temba Hapakuwa Mbali, Kwa Muda Ule, Alikua Mango Garden.  Mzee temba aliwaanga Vimwana alio kuwa nao na kumfuata Musa. Kutokea Mwananyamala kuja Mwenge kama hakuna Foleni, si Mbali Ilimchukua Nusu Saa Kufika Mwenge, Walisalimiana na Musa halafu Wakaelekea Alipoegesha Gari. Waliingia ndani ya Gari na Kuelekea Nyumbani Wakiwa Njiani Ukimya Mwingi Ulitanda Lakini Mzee Temba Aliuvunja Ukimya na Kumjuza Musa kuwa Siku Inayofuata Ambayo ni Kesho yake; Mzee Temba Atasafiri Kwenda Madrid; Musa Aliuliza ni Nchi Gani hiyo na Unaenda Kufuata nini? Mzee Temba Alimjibu Kwa Mafumbo Kuhusu Madrid ni mji mkubwa sana Duniani' Unapatikana Hispania.
Kuanzia sasa wewe si masikini, ila sitaki kujua kuhusu Utajiri wako ni wa muda gani, nawewe Sihitaji Ujue Utajiri Wangu ni Wanamna Gani 'Nisikilize Kwa Makini hata Siku Moja Usije Ukamwambia Mtu Kwa haya Tunayoyatenda Ibaki kuwa Siri yako Wewe Mwenye we. Tulifika Nyumbani Lakini Musa alizidi kuwaza, Lakini Baadae  Aliijiwa na Wazo kuwa, Aingie ndani na Aelekee Chumba Anacho lala ili akaijaribu Ile Pete kama haitafanya kazi atoweke Pale Haraka ;Vinginevyo Anaweza Kutolewa Kafara. Alinyenyuka haraka haraka na Kuelekea Chumbani kwake, Huko Alifinga Mlango Kisha Akavuta Droo ya Kitanda na Kuitumbukiza Ile Pete, Halafu Akaomba Pesa Zijae Kwenye Ile Droo Naziwe Elfu kumi kumi. Kufumba na Kufumbua Droo ikajaa hela Alizoziomba 'zilikuwa noti mpya mpya!! Alimanusra, Musa Azirai Kutokana na Wingi wa zile Noti. Musa hakuwahi kuona noti nyingi kama zile, aliguna kama mtu aliepaliwa na kitu Kitamu na Kuanza Kuhesabu Zile Noti Moja Baada ya Nyingine, Uku Akikagua Zisijekuwa Bandia, Lakini Aligundua ni Noti halali. kijasho Kilimtoka Wakati Anazihesabu ' Mpaka anamaliza kuhesabu'alipata idadi kamili ya Shilingi milioni tisini na tano, Alizipanga Pamoja Akanyanyua Godoro na Kuzihifadhi Uko....
.............. Nitaendelea na Mkasa Wa Maisha Yangu Wiki Ijayo Mawasiliano ya Babu Uyo Anaetoa Utajiri huo ni 0652 720 339

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

2 comments:

  1. MALI,UTAJIRI AU FEDHA ZA NDAGU AU MAJINI KWA MUDA MFUPI MPAKA MASAA 72(SIKU 3) PAPO HAPO KWA MASHARTI MAALUM KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

    KUMBUKA MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA

    kwa maelezo kamili piga namba +255742162843

    (KWANINI USUMBUKE,HACHA KUTANGATANGA, NA MAISHA NI MAFUPI PUUZA UONGOFU WA KUWA MTU KUWA TAJIRI NI DHAMBI WAKATI AKUAMBIAE YEYE NI TAJIRI (Tumia ufahamu kujinasuaUTAJIRI WA NDAGU(MASHARTI) NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) PAPO HAPO KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

    NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU ULINZI KWA MALI YAKO
    (HUSITUME SMS PIGA SIMU KUHEPUKA MATAPELI)
    MATIBABU MENGINEYO NI KAMA UTULIVU KATIKA NDOA, AU KUMVUTA UMPENDAE, KUONDOA MIKOSI, MABALAA, KUOSHA NYOTA, KUITAMBUA NYOTA YAKO NA ASILI YA KAZI YAKE, KAMA UNASUMBULIWA NA MAJINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI.

    NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.

    (kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO
    1. uwe una umri wa miaka 18+
    2. uwe tayari kupokea masharti yote
    3.uwe na uwezo wa kutunza siri
    4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote
    KARIBU SANA KWA SHIDA NYINGINE PIA ULIYONAYO AMBAYO SIJATAJA INSHAALAH ITATATULIWA IKIWA NDANI YA UWEZO WANGU.

    ReplyDelete
  2. IJUWE SIRI YA MALI NA UTAJIRI KWA NDAGU NA MAJINI PIA ASILI YAKO.

    KATIKA SAFARI YA MAFANIKIO TUNAPITIA MENGI ILI TUWEZE KUFANIKIWA LAKINI WENGI WETU KUNA MAMBO MACHACHE SANA WENGI WETU TUNAYADHARAU NA KUMBE NDIO CHANZO CHA MAFNIKIO YETU.

    N.B KWA WALE WAHITAJI WA PESA ZA NDAGU au MAJINI kwa mudamfupi nipigie DOKTA MDIRO +255 742162843

    HAYA NI MAMBO 7 YAKUZINGATIA KATIKA SAFARI YAKO YA MAFNIKIO

    i) Wazazi wako wakiwa wamekulea mpaka ukawa mkubwa wafumbua macho unawaona akikisha usiwafanye wakajuta kukuzaa asilimia kubwa wazazi wanakuwa na tabu sana ila zile tabu zao ndio zinazokufanya wewe una aminiwa na watu na unaeshimika na kujieshimu

    Kwaiyo jitahidi sana kuwa nao vizuri kuna wengi maisha yao wanaishi kwa shida chanzo ni utofauti baina ya wazazi wao

    Ukiona wazazi wako wanatabu sana usiwajibu vibaya wewe kaa nao mbali ila wape majukumu yao unacho fanya kuwaona nakurudi ulipo apo utaona mambo yako yatakuwa vizuri sana

    ii) JAMBO LA PILI
    Akikisha unatunza uzao wako yani ukijua ni mtoto ni wako basi jitahidi sana kutoa uduma ata kidogo ulicho nacho lakini udumia usiache uzao wako unateseka na njaa wewe una kula maisha aisee fahau

    Kila mtoto wako anavyo kuwa ndio mambo yako yanaaribika usipo udumia kwaiyo ukiwa waitaji kufanikiwa zaidi jali uzao wako

    iii) JAMBO LA TATU
    ukiwa umeoa au umeolewa usitoe talaka au kuomba talaka kabla mwenzio ayupo tayari kwa muda huo fahamu ukiomba talaka au akikupa talaka bila bila sababu ya msingi yeye tu ana matamanio ya kidunia basi anamuda atapoteza muelekeo wa maisha yake

    iv) UKIWA WAPATA PESA
    ukiwa wapata pesa alafu utoi sadaka basi kufikia kwenye ukuu utachelewa sana mana mana pesa badala ya kutoa kwa iyari yako utatoa kwa matatizo kwaiyo jitahidi icho icho kidogo toa sadaka kwa wenye uitaji

    v) USIMZULUMU MTU
    kama wataka kufika mbali kwenye mafanikio yako usimzulumu mtu ata kwa uchache wa kitu usifanye ivyo itakugarimu kiasi kikubwa

    vi) USIZARAH MILA
    ukiwa kwenu kuna mambo ya mila mzimu tambiko jitahidi kufatilia sana aya mambo yanarudisha nyuma sana usipo yawahi mapema

    vii)USIWE WA NAMNA
    1)ikiwa ujafanikiwa jitahidi sana usiwe mvivu kufanya kazi usiwe muhuni usiwe mwenye chuki na asira zisizo za msingi usiwe na tamaa nyoa vizuri vaa nguo za eshima na usiige maisha ya watu.

    KWA MAWSILIANO ZAIDI KUHUSU MATATIZO MBALIMBALI YA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA, PETE MALI ZA NDAGU NA MAJINI N.K

    DOKTA MDIRO Call/whatsup +255 742162843.

    ReplyDelete

Item Reviewed: MASHARTI YA UTAJIRI WA KICHAWI Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top