Siku moja nilikuwa katika biashara yangu sokoni nikiuza mbogamboga kama kawaida yangu huwa napenda kukaa nikisoma magazeti nakufahamu dunia inaendaje,Inangawa umasikini ulikuwa umetanda katika inchi yetu,Ingawa lasiri mari zikiwa zipo zakutosha katika inchi yetu zikifaidiwa na watu wachache.
Sikuhiyo ilikuwa ni siku ngumu sana kutokana na biashara kuwa mbaya sana hasa katika uuzaji wa mboga .Mara ghafla nilimuona rafiki yangu ambaye tulisomanaye Shule ya msingi kijitonyama sio siri alikuwa amependeza sana msafi na nadhifu siyo yule wazamani ambaye alikuwa anaishi masha ya shida yeye pamoja na wazazi wake nilipata shauk ya kuumuita ila kabla sija muita ali nitupia jicho na akaniita '' DEUSI...!!!! Ndipo nami nilimuita YOHANA ......!!! kisha tukakumbatiana ka furaha nabaada ya hapo nilitaka kumfahamu kiundani zaidi kutokana na muonekano aliyo kuwa nao kutokana alivyo pendeza.Alinishangaa kutokana najinsi nilivyo kuwa kwani nilikuwa mchafu sana na ndipo nilipo mueleza juu ya maisha yagu yalivyo.Ndipo alinichukua na kutoka nae nje ya soko nilipo tokatu nilipingwa na butwaa kwani niiliona gari zuuri sana aina ya Range rover,alinia mbia kuwa hilo ni gari ambalo ana limiliki ndipo nilipo pata njia ya kumuuliza kuwa amewezaje kupata pesa zote hizo zakuweza kumiliki gari la samani kama hilo.kwani nilitamani kuwa kama yeye.Ndipo alinipa namba zake za simu 0652 720 339 nakuniambia nimtafute siku inayo fuata.Nami siku zembea kesho yake nilienda mpaka kweake Mbezi nilipo fika alinipokea kwa furaha sana na nilijihisi kama mtu wa pekee kutokana na hayomapokezi.....alisimulia jinsi alivyoweza kuwa milionea. Nami nilikuwa tayari kwani alipata utajiri kwa njia ya ndagu kwa masharti machache na marahisi sana.............................
ITENDELEA SIKU KAMA YALEO....
Saturday, April 11, 2015
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment