banner

banner

Latest News

Powered by Blogger.
Friday, March 27, 2015

FREEMASON INAMIAKA MINGAPI?

Limekuwa ni swaliambalo huulizwa mara kwa mara na watu ,huku watu wengi hususani katika nchi za Afrikawakiamini kuwa Jamiihii ya siri ili anzashwa hivikaribuni .Hiinikutokana na ukweli kwamba watu wengi hususan Watanzania wamepata ufahamu wa uwepo wake katika miaka ya hivi karibuni.

Huo siukweli hata kidogo ,Freemason ni jamii iliyokuwepo miaka mingi iliyo pita .Ila watu wengi walianza kujiunga nayo katika miaka ya 1700.Tangu miaka hiyo Freemason haijawahi kukubalika zaidi ya kurekebisha kidogo baadhi ya vitu vyao.
Hivyo inatokana na ukweli kwamba mabadiliko mengi tunayo yaona Duniani kwasasa yanatokana na wao.Hayo mabadiliko kidogo yaliyopo ni kutokana na kuwaficha watu ukweli halisi wa jamii hiyo ,Pia ina sifika kwa kutoa uhuru mkubwa kwa wafuasi wake katika kutoa maoni yao wanayo shiriki.


========kwa muendelezo zaidi wakutaka kufahamu  wasiliana na si kwa namba..... 0652 720 339

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: FREEMASON INAMIAKA MINGAPI? Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top